UTAMADUNI WA WATU WA ZANZIBAR NI WA KUHESHIMU DINI ZOTE

Makamu wa pili wa rais wa zanzibar balozi seif ali iddi amesema utamaduni wa watu wa zanzibar ni wa kuheshimu dini zote ni msingi imara wa kusimamia amani na utulivu.
Balozi seif amesema hayo alipokuwa akipokea msaada wa fedha kwa ajili ya sekta ya afya kutoka kwa mchungaji bariki urassa wa madhehebu ya efatha nchini.