UTEKELEZAJI WA HATI YA MAKUBALIANO KATI YA SUZA NA CHUO KIKUU CHA INDIA NI MUENDELEZO WA UHUSIANO KATI YA ZANZIBAR NA INDIA

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk. Ali mohamed shein amesema utekelezaji wa hati ya makubaliano kati ya suza na chuo kikuu cha teknolojia cha india ni muendelezo wa uhusiano kati ya zanzibar na india