VIJANA KUITUMIA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO KAMA NI NYENZO YA KUJIONGEZEA KIPATO.

Vijana nchini wametakiwa kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano (tehama) kwa ajili ya shughuli za uchumi na sio vinginevyo.
Rai hiyo imetolewa jijini dar es salaam na washiriki wa mkutano wa siku moja wa asasi ya vijana ya umoja wa vijana (yuna-unc) ambapo wamewashauri vijana wenzao nchini kuitumia teknolojia ya habari na mawasiliano kama nyenzo ya kujiongezea kipato.
Nae mwenyekiti wa asasi ya vijana ya umoja wa mataifa (yuna-unc) bi ninabina dave kituru amesema mkutano huo umelenga kujadi fursa zilizopo katika teknolojia ya habarai na mawasiliano na umewashirikisha vijana mia moja
Mkutano huo umeandaliwa na asasi ya vijana ya umoja wa mataifa