VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KAZI ZA UJASIRIA MALI KWA KUWA WABUNIFU

 

Vijana wameshauriwa kushiriki katika kazi za ujasiria mali kwa kuwa wabunifu

wa miradi mbalimbali itakayowapatia fedha za kujiendeleza kimaisha