VIJANA WAMESHAURIWA KUTAFUTA TAALUMA ITAKAYOWASIDIA KUFIKIA MALENGO

Vijana wameshauriwa kutafuta taaluma ambayo Itakayowasidia kufikia malengo ya kimaendeleo Waliyojipangia.Afisa mipango kituo cha huduma na sheria zanzibar .Ali haji hassan ametoa ushauri huo wakati akitoa Mada ya sera ya maendeleo ya vijana katiaa mafunzo Ya elimu ya uraia yaliyoyasdhirikisha mabaraza ya Vijana ya mkoa wa mjin i maghjaribi.