VIKOSI VYA IRAQ VYAPATA MAFANIKIO MOSUL

 

 

Vikosi vya serikali ya iraq vimefanikiwa kuyadhibiti majengo muhimu ya serikali ikiwa ni juhudi zake za kuukomboa mji wa mosul unaokaliwa na wanamgambo wa is.

Vikosi hivyo vinadhibiti nusu ya eneo lamosul kufuatia mapigani makali yaliyotokea usiku wa kuamkia leo katika mji wa dawasa.

Licha ya mafanikio hayo umoja wa mataifa umeonyesha wasiwasi wake kutokana na na kuongezeka wahamjai wanaoukimbia mji huo kutokana na mashambulizi hayo.

Amesema hali ya kibinadamu mjini mosul ni mbaya ambapo watu wengi wamejeruhiwa wakikimbia mapigano.