VIONGOZI KUKAA PAMOJA KUJADILI MBINU BORA NA KUJIWEKEA MIKAKATI MADHUBUTI

 

Mwenyekiti wa chama  cha wananchi  cuf  taifa pr  ibrahim  lipumbaa  amewahakikishia  wanachama wa chama hicho kuwa kipo tayari  kuendelea kusmamia zaidi maslahi ya  watanzania  pamoja na kushiriki   uchaguzi  wa 2020  na ule wa   mdogo  wa jangombe unaotarajiwa ufanyika hivi karibuni

Pr likumba amesema  wakati umefika sasa   kwa  viongozi hao kukaa pamoja na kujadili  mbinu bora  na  kujiwekea mikakati  madhubuti ambayo  itawapatia  fusra wananchi kukuza  demokrasia yao kwa  kuwachagua viongozi   makini na  sio wababaishaji    wasiojali maendeleo ya wananchi

Akizungumza na wanachama wa  wilaya sita wa chama cha  hicho  huko katika ukumbi wa baitulyamini malindi  amesema kuwa  hali ya kisiasa  kwa zanzibar imekuwa sio nzur kutokana  baadhi ya  viongozi wakuu  kujihalalishia  chama hicho  hivyo kuna kila sababu ya kubadilik na kuwa na nguvu za pamoja katika kusimamia   mahitajia  ya watanzania  kwa kuwa na chama imara ndani

Wakitoa nasaha zao   kwa wanachama  hao kaimu katibu mkuu  wa  c uf   nd khalifa  suleiman  na  mbunge  wa  bunge la  afrika  mashariki  ng khatib mnyaa  wamewataka wanachama wa  chama hicho kubadilika  na  kuminiana  kwa kuijenga cuf mpya  na sio kuendeleza ubinafsi  ndani ya chama  hicho