VIONGOZI WA DINI KUELIMISHA JAMII MUONGOZO WA DINI ZAO

 

Mwenyekiti wa tume ya kurekebisha sheria Jaji Mshibe Ali Bakari amewataka viongozi wa dini kuelimisha jamii muongozo wa dini zao ili kusaidia kuondokana na migogoro.