VIONGOZI WA MANISPAA YA TEMEKE WAMEKUBALIANA KUBADILISHANA UZOEFU

Viongozi wa manispaa ya temeke na Halmashauri ya walaya ya kati Wamekubaliana kubadilishana uzoefu katika Kutekeleza miradi ya kijamii pamoja Kuendeleza mahusiano.
Makubaliano hayo yamefikiwa wakati ujumbe wa ulioongozwa na mstahiki meya wa manispaa temeke abdalla jaffar chaurembo kufanya mazungumzo na uongozi wa halmashauri ya wilaya ya kati dunga.
Mkurugenzi wa manispa ya temeke elizabeth kimako amesema makubaliano ya viongozi hao yatakuza umoja na maelewano pamoja na kutoa fursa za elimu kwa watendaji wa taasisi hizo