VIONGOZI WA TAASISI ZA SERIKALI PAMOJA NA ASASI ZA KIRAIYA KATIKA KONGAMANO LA KITAIFA

 

Viongozi wa tasisi za serikali wametakiwa kushirikiana naasasi za kiraiya katika kuelimisha na kuihamasisha jamii juu ya masuala ya utawala bora ili waweze kuhudumia jamii ipasavyoakizungumza na viongozi  wa taasisi za serikali pamoja na Asasi za Kiraiya katika kongamano la kitaifa la utawala bora     huko katika ukumbi wa baraza la mji Chake Chake Waziri wa nchi ofisi ya Rais katiba sheria utumushi waumma na utawala bora Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman amesema kila mmoja kwa nafasi yake anapaswa kuwajibika katika kutekeleza majukumu yake ili kuimarisha utawala bora.kwa upande wa wasilisha mada katika kongamano hilo   nao wamesema.wakichangia katika kongomano hilo nao  washiriki wamesema bado jamii haina uelewa wa kutsha   juu ya utawala bora na  masuala ya udhalilishaji  hivyo elimu inahitajika.