VIONGOZI WALIO MADARAKANI WATAKIWA WAZINGATIE MASLAHI YA KUIUTENDAJI NA SIO VYENGINEVYO

 

 

 

mwenyekiti wa tume  ya maadili ya  viongozi wa uma zanzibar  nd assa  ahmadi  rashidi  imewataka viongozi   walio madarakani kufanya majukumu yao  wazingatie maslahi yao ya kuiutendaji  na sio vyenginevyo .

akifungua    mafunzo kwa   mabaraza ya vijana   ya wilaya tatu za mjni na magharib  mwenyekiti wa tume ya  maadili ya  viongozi wa umma  ndugu  assa ahmadi  rashid   amesema   kutekeleza majukumu   yao   kutawafanya viongozi wanao waaongoza kujenga imani na kazi  wanayo kuwa   nayo.

amesema viongozi wa tume ya maadili  wana jukunmu la kuwatanabahisha   waajiriwa na watu mbalimbali wao wasimamia   kwafanya kazi  kujenga   haiba ya mtoa huduma na anae hudumikiwa.

aidha  amesema tume iomeamua kutoa mafunzo hayo kwa mabarza ya vijana   kutokana na umuhimu wa  kuunga mkono suala la kukuza na kusimamia  maadili  ya viongozi wa umma ili  wajibu wasereka wa kuwaletea  wana nchi  maendeleo uweze kutimia

wakitoa mada juu ya sheria  ya viongozi wa umma na umuhimuwake kwa  ilotolewa na suleimani  a sleiman  na jukumu la mabaraza ya vijana  katika kukuza maadili ilotolewa na haji  chapi  wamesema  wa  sivyema k2wa viongozi wa umma kutumia  lunga mbaya  katika nyazifa

baadhi ya  viongozi kutika mabaraza  ya vijana wamelezea kufurhishwa  na  mafunzo waliopatiwa  na kusema yameibua hisia  ya ufanyaji wa kazi wanazo jituma katika jamii pamoja na kujua majukumu yao.