VITABU ELFU MBILI MIA NNE NA KUMI NA TANO, VYA KUSOMEA NA KUFUNDISHIA VYAKABIDHIWA

 

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (ccm),mkoa wa mjini, nd. Twalib ali twalib, amekabidhi vitabu elfu mbili mia nne na kumi na tano, vya kusomea na kufundishia kwa skuli ya msingiyawazazivyenyethamanish.milioni 17.

Akikabidhivitabuhivyomwenyekitihuyoalisemahatuahiyonisehemuyautekelezajiwailaniyauchaguziyachamakupitiaibara 59 na 90 ambapoinaelezamasualayakuimarishasektayaelimu.

Mwenyekitihuyoalisemachangamotoyauhabawavitabukatikashulehiyoambayoinamilikiwana ccm niyamudamrefunakwambavitabuhivyovitasaidiakuimarishashulehiyokatikakutoahudumayaelimu.

“kupitiailaniyauchaguzitumefanikiwakupatavitabuvyoteambavyovinatakiwakutumikakwenyeshuleyetuambayokwasasainafanyavizurikatikaufaulukwawanafunziambapomwakahuuimekuwaya kwanza kwa zanzibar hivyovitabuhivivitasaidiakuongezaufauluzaidiyahapa,”alisematalib

Katikamaelezoyaketalibalisemalengo la ccm kuanzishashulehiyonikuisaidiaserikaliyamapinduziyazanzibar(smz) katikasektayaelimukutokananakuwaawalishulezilikuwachachehukuidadiyawanafunziikiwakubwa.

“katikamwaka 1999 ccm iliamuakufanyahivyoilikuisaidia smz katikakuwapatiahudumayaelimuwatotowawakweziambaoniwanyongehivyonakwambabadotunaendeleakuhakikishawatotohaowanapataelimunzurikupitiashuleyetu,”alisema

Nayemwalimumkuuwashulehiyo, khamiskheriamialisemavitabuhivyoitasaidiasanakatikautoajiwahudumayaelimukwawanafunzikutokananakuwakulikuwanachangamotokubwayauhabawavitabuhivyo.

Alisemavitabuhivyovitasaidiakuwaongezeamaarifayakutoshawanafunziwashulehiyonakwambakwahatuahiyoiliofikiwaitasaidiakuongezahaliyaufaulukatikamitihaniyakitaifa.

“nitahakikishavitabuhivihavitauzwakwawanafunzibalivitatumikakamailivyokusudiwakutumikakatikakufundishianakwambanihatuanzuriyautekelezajiwailaniyauchaguzinatutavitunzakwaajiliyakutumikanawengine,”alisemamwalimumkuuhuyo

 

Kwaupande wake makamumwenyekitiwawazaziwashulehiyo,msham said msham, alisemachangamotoyauhabawavitabuilikuwanikubwasanakutokananakuwawazaziwengiwalikuwahawanauwezowakununuavitabuhivyo.

Alisemavitabuhivyohavitaruhisiwakuuzwanakwambakamatiyawazaziikibainikuwawanafunziwameuziwavitabuhivyokamatihiyoitafanyakaziyakekamainavyotakiwakufanya.

“tumefanyajambozuri la kuhakikishakuwailaniyautekelezajiwauchaguziinafanyikakwavitendonahivyowalimuwanapaswakuvitumiavitabuhivyovizurinakuhakikishawanavitunza,”alisemamakamumwenyekitiwakamatiyawazazi