VITUO VINAVYOTOA ELIMU KWA WANAFUNZI KUFUATA MUONGOZO WASHERIA

 

Mamlaka ya mafunzo ya amali zanzibar  imevitaka vituo   vinavyotoa elimu kwa wanafunzi kufuata  muongozo washeria ,kanuni zilizowekwa naserikali kuhakikisha wanafata utaratibu uliowekwa ili wanafuzi waweze kufaulu vyema mafunzo yao  nakuepusha malalamiko .

Akifungua kongamano la kujadili changamoto juu ya vituo hivyo vilivyokuwepo chini mkurugenzi mtendaji  wamamlaka ya mafunzo ya amali ndg bakari ali silima  amesema vyuo hamsini na mbili vimesajiliwa lakini vyuo kumi na nnetu  ndio venye hadhi  ya kudumu kulikanga na sokola ajina

hivyo mkurugenzi huyo amewataka walimu  kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na uwelewa  wa kutosha kwa kutatua changamoto zao iliwanafunzi wakimaliza waweze kufanya kazi na kujiaajiri wao wenyewe.

Wakiwasilisha mada sita wakufunzi hao wamesema lengo la kutoa elimu hiyo ni kupunguza matatizo hanayojitokeza  katika vyuo ambavyo havina sifa ya kusomesha kuepuka kufungiwa na serikali ikiwemo nekta vitie veta  ilikukamilisha vifaa vya kifudhishia vyuoni.

Kwa upande walimu walioshiriki kongamano hilo waeelezea jinsi matatizo wanayoyapata wakiwa katika vituo vyao nakupelekea wanafunzi fufeli mitihani yao.