WADAU WA BIASHARA WAMEWATAKA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KUIFANYIA MAPITIO SHERIA ZILIZOPO

Wadau katika sekta ya biashara  wamewataka  wajumbe wa baraza la wawakilishi  kuifanyia mapitio sheria  zilizopo  ya  uingizaji wa bidhaa  ambayo itasaidia uingizaji wa bidhaa zenye ubora nchini

Uimarishwaji katika sekta ya biashara na  viwanda nchini  unahitaji ushirikiano wa  kutosha   hatua ambayo  itasaidia  kupata maendeleo na fura  za ajira nchini

Wakizungumza baadhi ya wadau   wa  sekta hiyo na   baahi  ya wajumbe i wa baraza la wawakilishi  katika kikao kilichofanyika katika ukumbibi wa baraza la wawakilishi chukwani  katika kikao maalumm  kilichoandaliwa na taasisi ya chembar chenye lengo la  kuishirikisha serikali  kuondoa kodi  za ndani  ili wafanya  biashara  waweze  kunufaika na kuingia  katika  soko  la  dunia  .

wmeseama  mbali na kuandaliwa mifumo  maalumu  ya ukuwaji wa biashara lakini pia kuwepo kwa  kodi nyingi kunachangia  kuna changia  baadhi ya wafanya biashara kushindwa  kuingia katika  ushindani wa  soko  la biashara  na kutofikia malengo

mwezeshaji  ambae pia ni muhadhir kutoka chuo cha kodi daresala  ussi hamza  na  raisi wa yumuiya za wafanya  biashara  wenye viwana  toufik turky  wameelezea  mikakati  sahihi ya ukuaji wa uchumi ili  wananchi  na wafanya biashara wa dogo wadogo na wao  wananufaika  kupitia biashara  zao

mapema  akifungua kikao hicho mwenyekiti wa kamati  ya kilimo  na mjumbe wa baraza la  wawa kilishi  mh mwinyi  haji   makame  amesema kuwa mbali ya changamoto zilizopo katika sekta ya biashara lakini serikali  imekuwa ikichukuwa juhudi  za  kuhakikisha  sekta hiyo inakuwa na kuhilili kuingia katika ushindani  wa kibiashara