WADAU WA MAPAMBANAO DHIDI YA UDHALILISHAJI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA MOYO WA HURUMA

Naibu waziri wa afya Mhe Harous Said Suleiman amewataka wadau wa mapambanao dhidi ya udhalilishaji kwa wanawake na watoto kufanya kazi hiyo kwa kujitole na kwamoyo wa huruma na kutumia lugha nzuri kwa wathirika waliofanyiwa vitendo vya uzalilishaji

Kauli hiyo ameitoa wakati akifungua mafunzo ya siku tano ka wadau wa mapambanao ya udhalilishaji amesema wapambanaji dhidi ya  udhalilishaji wanajukumu kubwa la kuibadilisha jamii iliyoathirika   kisaikolojia kabla kupatiwa huduma za kitaalamu

Amesema serikali ya mapindzi ya zanzibar imekuwa ikipambana na vitendo vya uzalilishaji wanawake na wato kwa kuweza kutoa huduma stahiki kw awahanda na waliofanyiwa vitendo hivyo mtendo

Afisa kutoka kitengo cha mkono kwa mkono hospitalia ya mnazi mmoja fatma ali haji amesema kesi za uzalilishaji zinazidi kuongezeka kutoka na jamii kua na uwelewa wa kupeleka kesi hizo sehemu husika tofauti na hapo awali wakati jamii ilikuwa wanamalizana kesi hizo majumbani.

Comments are closed.

Powered by Live Score & Live Score App