WAFANYA BIASHARA WA MCHANGA KUTORIDHISWA NA BEI

 

Wafanya biashara wa mchanga  kutoridhiswa na bei elekekezi iliotolewa na waziri wa  kilimo maliasili na mifugo na uvuvi mh hamadi rashid hivi karibuni

Mwanakwerekwe wamelalamikia wakizungumza na kamera ya habari za biashara nauchumi baada ya kufika eneo hilo wafayabiashara hao wamesema kutokana na utaratibu uliowekwa na serikali juu ya uwingiaji na uchukuaji katika shimo lililowetengwa na serikali

Wameiyomba serikali  kuangalia upya swala la upangaji wa bei ya mchanga bila ya kuwaumiza wafanyabiashara na serikali katika kujipatia mapato yake

Kufuatia uharibufu wa mazingira unaofanywa na baadhi ya wachimba mchanga katika mashimo serikali imeamua kuweka utartibu maalum katika uvunaji wa rasilimali hiyo