WAFANYA BIASHARA WAMEOMBA WANANCHI KUWAUNGA MKONO KWA KUJITOKEZA KWA WINGI KWENDA KUNUNUA BIDHAA

 

 

Wafanya biashara wa mnarani kisonge  wameomba wananchi kuwaunga mkono kwa kujitokeza kwa wingi kwenda kununua bidhaa mbali mbali zilizotengezezwa  nchini zenye kukidhi viwango madhubuti.

Wafanya biashara hao wamesema biashara bado hairidhishi tokea walipoanza kuuza wateja wamekuwa ni kidogo hivyo wameomba wajasirimali weni kujitokeza kwa kununua bidhaa zao.

Mkurugenzi  uwezeshaji ameir haji sheha ametoa wito kwa jamiii kubuni miradi mbalimbali itakayoweza  kuwasaidia kujikwamua na maisha na kuwachautengemezi katika familia zao.Kwa upande kaimu mkuuwakitengo cha mfuko wa hifadhi ya jamiii zanzibar [hiari]amewasisitiza wajasiriamali kujiunga kwa hiari kwa kuchukua mikopo kuweza kujiajiri wenyewe.