WAFANYABIASHARA WA DAGAA WAMETAKIWA KUITUMIA FURSA INAYOTOLEWA NA SERIKALI

 

wafanyabiashara  wa dagaa wametakiwa kuitumia  fursa  inayotolewa na

serikali  katika  wilaya zao ili waweze kujikwamua na  umaskini na kuondo

kana na utegemezi.

hayo  yame elezwa na mkurugenzi wa  manispaa  ya magharibi a

amour ali mussa wakati alipokuwa katika ziara ya kuwatembelea

wafanyabiashara wa dagaa  waliohamia bububu kihinani   pamoja

na wafanyabiashara wa  dagaa wa  fungurefu  ili kuweza kujifunza

jinsigani wanavyo endesha  biashara  yao  .

amesema  wilaya yake  itahakikisha  inasimamia ipasavyo  shughuli za

biashara za dagaa na kuwawezesha wafanya  biashara hao.

afisa utumishi wa magharibi a  amesema  lengo laziara yao nikujifunza

jinsi biashara ya  dagaa  inavyoendeshwa na  wafanya biashara wa fungu refu

amesema  wamejifunza  kusimamia  masoko  ya dagaa  na watajitahidi

kusimamia soko la dagaa kwa wafanyabiashara wa kihinani.

mwenyekiti wa  wafanyabiashara wa fungurefu na mfanyabiashara wa dagaa

wameiomba serkali  kuwa tengezea  barabara ili waweze  kuendesha biashara zao

kwa urahisi  mbali  na hilo  wanasumbuliwa na  changamoto  ya  kutokuwa na

uhakika wa bei wanazo pewa .