WAFANYAKAZI KUENDELEZA UMOJA NA MSHIKAMANO ILI KUENDELEA KUPATA MAFANIKIO

Makamu wa pili wa zanzibar amewataka wafanyakazi wa afisi hiyo kuendeleza umoja na mshikamano wao ili kuendelea kupata mafanikio katika utendaji wa kazi zao.makamu wa pili wa rais amesema hayo wakati wa sherehe za makabidhiano ya afisi kati ya katibu mkuu wizara ya kilimo joseph meza na katibu mkuu wa afisi hiyo dk. Muslim hija aliekuwa mkuu wa mkoa wa kusini unguja.