WAFANYAKAZI WA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA KUENGEZA KASI YA KUFANYA KAZI

 

Waziri  wa AfyaHamad Rashid Mohammed

amewatakawafanyakaziwahospitalikuuyamnazimmojakuengezakasiyakufanyakaziilikuwezakuletamabadilikoyakiutendaji.

AmesemaHospitalikuuyaMnazimmojanijicho la wananchinainategemewasanakutokananahudumanyingizinazopatikanahapo,  hivyoamewatakawafanyakazikutoahudumazinazokubalikakwajamiinakuepushamalalamikoyamarakwamarayanayojitokezahospitalinihapo.

HayoameyaeelezaleohukohospitalikuuyaMnazimmojawakatialipokutananaBodiyaushauriyaHospitaliyamnazimmojapamojanakamatitendajiyaWizarayaafyakatikakupangamikakatiyakufanikishahudumazaafyaHopitalinihapo.

AmesemaBodiyaushauriyaHospitalikuuyaMnazimmojainawajibumkubwawakusimamiautekelezajiwakazizahospitalihiyoilikuonakwambahudumazinazotolewazinauborakwawatuwotewanaofikakupatahuduma.

AlifahamishakuwabaadhiyachangamotozinazoikabiliHospitalihiyonivyemazikachukuliwahatuazaharakakwa