WAFANYAKAZI WA KIWANJA CHA NDEGE KISIWANI PEMBA WAMETAKIWA KUIMARISHA UMOJA

 

wafanyakazi wa kiwanja cha  ndege kisiwani pemba  wametakiwa  kuimarisha umoja  na mashirikiano   ili waweze kufanyakazi kwa ufanisi.

ushauri huo umetolewa na mwnyekiti wa vyama vya wafanyaki zanzibar  faridu ali hamad wakati walipokuwa akizungumza na wafanyakazi hao  kwenye  hafla ya utowaji wa zawadi kwa wafanyakazi bora  iliyofanyika kaatika ukumbi wa kiwanja  cha ndege  mfikiwa.

amesema umoja  ndio njia pekee itakayowasaidia  kutimiza wajibu wao  wa kazi  hivyo amewataka kuendeleza umoja wao  kwa kujiunga katika vyama vya wafanyakazi  ili kuwa na sauti ya pamoja  itakayowapelekea kufikia  malengo  waliyojiwekea.

nae kaimu  meneja kiwanja cha ndege pemba nd.ali suleiman amewaasa wafanyakazi  hao kuwa na upendo  miongoni mwao  kwa  kuweza kutimiza majukumu yao ya kazi .

akisoma risala ya wafanyakazi hao asha said  khamis amesema wanaipongeza mamlaka  kwahatua mbali mbali  zinazochukuwa  juu ya wafanyakazi wake ikiwemo suala la upimaji wa fya  kwa  wafanyakazi pamoja na kuwapatia bima ya afya