WAFANYAKAZI WA SEKTA BINAFSI KISIWANI PEMBA KUJENGA UMOJA NA MSHIKAMANO

 

Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya wanawake habari na utalii katika wizara ya kazi mh, ali suleiman shihata amewataka wafanyakazi wa sekta binafsi kisiwani pemba kujenga umoja na mshikamano ili kuweza kushirikiana katika kutatuwa changamoto zinazo wakabili.

Mh, shihata ameyasema hayo huko fundu lagon hoteli iliopo wambaa mkoani wakati akizungumza na wafanyakazi wa hoteli hiyo.

Amesema umoja wao ndio sauti yao na kuwataka watumishi hao kutosita kuzieleza changamoto ambazo wanapambana nazo ili ziweze kupatiwa ufumbuzi.

Wakitoa changamoto zao kwa kamati hiyo watendaji wa hoteli hiyo wamesema.

mmoja wa wafanyakazi wa hoteli hiyo nd,faki .

Akitowa ufafanuzi wa malalamiko ya ongezeko la mshahara  kamishna kazi kutoka wizara ya kazi uwezeshaji wazee vijana wanawake na watoto zanzibar bibi fatma iddi ali amesema

Wakati huo huo  kamati hiyo imetembelea familia zinazoishi kwenye  mazingira  magumu katika vijiji vya pujini na tibirinzi chake chake pemba na kuzifariji familia hizo..