WAFANYAKAZI WA TASISISI ZA SERIKALI WAMETAKIWA KUJUA HAKI NA WAJIBU

 

Wafanyakazi wa tasisisi za serwkali wametakiwa  kujua haki  na wajibu kwa kufuata  sheria  zilizowekwa  katika utendaji  wa kazi   ili kupunguza  matatizo  kazini  .

hayo yamelezwana  mkurugenzi utumishi  na uendeshaji  joseph  kilangi huko katika ofisi ya  wizara ya habari wakati  wa kuendesha mafunzo kwa watumishi wa umma.

Ndugu kilangi  amesema kuna baadhi ya wafanyakazi wa taasisi za kiserikali hawaelewi  haki zao za msingi na kutaka kuzingatia sheria na kanuni zinavyoeleza  ili kuondosha   malalamiko kwa wafanyakazi

Kwa upande wake   muasilishaji mada kutoka wizara ya habari  ndugu   musa maftah amesema kila mfanyakazi ana wajibu  kujua wajibu  sio kwa maslahi yake mwenye   kwa kuwa na heshima na nidhamu  kazini .

nao afisa  utumish na mipango  katika wizara hiyo  amelezea badhi ya wafanyakazi kutoelewa wajibu wao na kutoa ushauri kwa wafanya kazi hao kuuata muongozo wao .