WAFANYAKAZI WA ZBC TV AMETAKIWA KUZIDISHA UMOJA NA USHIRIKIANO

 

Wafanyakazi wa shirika la utangazaji zbc tv ametakiwa kuzidisha umoja wao kwa kushirikiana pamoja katika utendaji kazi  ili kuleta upendo zaidi kwa kuanda mambo mema katika kipindi hiki cha mwenzi mtukufu wa ramadhani.

Naibu mkurugenzi wa shirikala utangazaji zbctv  ndg nasra muhamed juma ameyasema hayo baada ya  wafanyakazi washirikala utangazaji kitengo cha kamera kuandaa futari ya pamoja iliyofanyika karume house mnazimoja.

naibu mkurugenzi huyo bi nasra amesema  umoja walioufanya umeonesha upendo miongoni mwa wafanyakazi  kwakuweza kukusanya watu kipindi hiki kwa kujumuikapamoja katika futari ya pamoja.

Amesema kitengo cha kamera wamefanya jambo nzuri  na kuweza kutoa shukurani zake kwa mualiko huo  kwakuzidishamashirikiano ya pamoja hasa katikautendaji wa kazi. Mtafu wa shirika hilo bwana burhani amewaomba vijana  kuzidi kupendana  kwakuletaushirikiano wapamoja na kuepukajeur ili kazi zifanyike kwa ufanisi zaidi kwani umoja ni nguvu ya taifa.

nao wafanyakazi wakitengo cha kamera wamesema nijambo muhimu kututarisha waislamu wenzao hasa katika kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani kwa kuwakutanisha wafanya kazi wenzao kwa kubabilishana mawazo ya hapa napale.