WAISLAM WAMETAKIWA KUZINGATIA MAFUNZO YALIYOPEWA YA HIJA KWA KUZINGATIA TARATIBU NA SHERIA

 

Waumini wa dini ya kislamu wametakiwa  kuzingatia  mafunzo yaliyopewa  ya hija kwa kuzingatia  taratibu na sheria ili kuepuka usumbufu  unaojitokeza  huko makka wakati wa kufanya ibada hiyo.wakitoa mafunzo ya maandalizi ya ibada ya hiyo mwenyekiti wa jumuiya  ya  maimamu zanzibar  bwana  juma sleimani huko mkunazini amesema  watu wengi wanafanya makosa   na wnginewanapotea hivyo wameamua kuwapa mafunzo na kuwafundisha mambo mbali mbali ya hija aidha  amesema mahujaji elfu tatu wanatarajiwa  kwenda hija kwa mwaka huu. Nao washiriki wa mafunzo hayo wamelezea   maoni yaona kutoa   ushauri wao  ujuuya mafunzo waliyoyapata .