WAISLAMU WAMETAKIWA KUENDELEZA IBADA MBALI MBLI BAADAYA KUMALIZIKA MWENZI MTUKUFU

 

Waislamu wametakiwa kuendeleza ibada mbali mbli baadaya kumalizika  mwenzi mtukufu wa ramadhani kwa kuweza kumcha allah  suhana  wataala ili kuacha matendo maovu nakuzidisha imani kwa waislamu wote nchini.

hayo yameelezwa na mbunge wa tunguu mh khalifa huko katik hoteli ya marine mtoni wakati wa mjumuiko  wa chakula  cha pamoja kwa wana ccm .

amese waislamu wote wanapaswa kuendeleza ibada na kuacha kusherekea skuku  kwa hujihusisha na kilevi ili kuepuka madhara kwa taifa  nawazee kuacha kuwavika vitu vya dhamani watoto .

Naye  mwenyekiti wa ccm wilaya ya kati bwana khamis vuai  amesema  ni vyema vijana na   madereva  kuacha kuendesha mwendo wa kasi wakati wa kushereheka skuku ili kuepusha ajali mbali mbli wakati wakusherehekea skuku hiyo.

Mwakilishi wa muembe makumbi mh  ussi salum pondeza  amesema kila mtu anapaswa kusherehrekea  skuku vizur bila y akufanya fujo na kutoa ushauri mbali mbli kuhusiana na skuku hiyo.