WAJASIRIAMALI WA DAGAA WAMEASWA KULITUMIA SOKO LA NDANI

 

 

Wajasiriamali wa dagaa wameaswa kulitumia soko la ndani ipasavyo ili kukidhi mahitaji ya bidhaa hiyo badala ya kukimbilia soko la nje ambalo limejaa ubabaishaji na magendo