WAJUMBE WA MABARAZA WAMETAKIWA KUWA WAZALENDO KWA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Wajumbe wa mabaraza ya ushirikiano katika shehia ya mtambwe wametakiwa kuwa wazalendo kwa kushiriki katika shughuli za maendeleo ili kupunguza matatizo katika eneo lao.