WAKAAZI WA FUNDO WAMERIDHISHWA KWA KUPELEKEWA HUDUMA YA UMEME

Wakaazi wa kisiwa cha fundo wamesema wameridhishwa kwa kupelekewa huduma ya umeme katika kisiwa chao hali ambayo itawarahisishia shughuli zao za kila siku