WAKAAZI WA SHEHIA SHAKANI KUACHA KUVAMIA MAENO YA SERIKALI

 

Diwani  wa  shehia ya shakani  amewataka wakaazi wa shehia hiyo kuacha kuvamii maeno  ya serikali  kwa kujinufaisha wenyewe bila ya kuwepo utaratibu wa serikali.

diwani huyo ameyaeleza hayo wakati wa  kupokea malalamiko kwa mkazi moja  wa shehia yake kwa kutaka kuporwa eneo la serikali   analolitumia  kwa kuwekeza  katika ufugaji wa samaki katika kujikwamua na uchumi  wa maisha yake.

amesema  kijana said irahim  abdala  ni kaazi halali  aliomba eneo la serikali kwa  kitaka kujiwekeza na ufugaji wa samaki na  kufuata masharti yoye ya serikali  la kushaghaza zaidi baaada ya kuaza shughuli za ufugaji kumejitokeza watu na kudai eneo hilo  ni la kwao