WAKAGUZI WA UFUNDISHAJI KWA WALIMU WAMETAKIWA KUSIMAMIA VYEMA KWA KUTOA MAAMUZI YALIYOKUWA SAHIHI

 

Wakaguzi wa vituo  vya kusimamia njia za ufundishaji  kwa walimu wanaofundisha maskulini wametakiwa kusimamia vyema  kwa kutoa maamuzi yaliyokuwa sahihi ili  kwa wanafunzi wanaofundishwa ili  waweze kupasi vyema masomom yao  kwa kuwanauhakika.

Akifungua mafunzo hayo katibu mkuu wa wizara ya elimu dk idrisa  muslimu hija huko betrasi  amesema  njia hizo mpya za ukaguzi kwenye vituo zitasaidia kwa kiasi kikubwa kutatu matatizo yaliyopo kwenye vituo na yataweza kipata ufumbuzi  kwa wakaguzi  na kutoa uwelewa  na muongozo  wakati wa ukaguzi.

kwa upande wake  mkaguzi mkuu wa elimu  dk rashi abdulazizi  mukki  amesema lengo kuu la kutoa mafunzo hayo kwa wakaguzi ni kupata uwelewa kwa kufuata muongozo   ni kutoa kurekebisha kasoro zilizpo  na kuwataka waliopatiwa mafunzo hayo ya siku tano  kuhakikisha wanawajibika ipasavyo..

Mkufunzi huyo  bwa andrew  reid kutoka umoja wa mataifa  amesema  kuwa waliopewa mafunzo hayo  lazimawahakikishe wanasimamia  kwauhakika   ukaguzi kwa kufatilia   mwanzo hadi mwisho na kupata majibu yaliyokuwa sahihi.