WAKULIMA WA MPUNGA KUJENGA TUTA LA KUZUWIA MAJI YA BAHARI

 

Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba mhe, Omar Khamis Othman amewapongeza wakulima wa mpunga kwa kujenga tuta la kuzuwia maji ya bahari yasingie katika bonde la mpunga la tovuni wilaya ya mcheweni.