WAKULIMA WAMESIFU HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA SERKALI ZA KUWAPATIA MAENEO NA MBOLEA BURE

Wakulima wa zao la mpunga cheju wamesifu hatua zinazochukuliwa na serkali za kuwapatia maeneo yakilo hicho na mbolea bure iliwaweze kuzalisha ili waweze kuzalisha mazao bora na yenye tija kwao na taifa kwa ujumla
wakulima hao wameyasema hayo baada ya uongozi wa halmashauri kuwatembelea kiliom cha mpunga cha umwagiliaji maji kwa lengo la kuangalia hatua zilizo fikia za uzalishaji pamoja na vipi wananufaika na mradi huo
wamesema mafanikio makubwa wanayoyapata yanatokana na utaalamu wanao patiwa kutoka kwa watalamu wa kuzalisha mazoa mengi zaidi ukilinganisha na hapo awali ambapo hatua hiyo imewapa matumaini makubwa ya kutaka zanziba kuwa na mchele wake zan rice kutokana na ushirikiano wanao upata kutoka kwa viongozi waoa
Akitowa maelekezo juu ya kilimo cha mpunga kwa kutumia mbegu ya subang kutoka indonesia mkuu wa kilimo cha umwagiliajki maji cheju ali uzia amesema kilimo cha umwagiliaji maji kinapunguza gharama na kutumia muda mwingi hiyo wamewataka wakulima kujikita zaidi kwa kilimo hichop ambacho kwa ssasa kina mafanikio zaidi
afisa zamana sekta ya kilimo wilaya ya kati hassan juma amesema lengo ni kusaidia jamii juu ya kilimo bora na kuwapatia elimu ya matumizi ya mbolea ili waweze kuzalisha kilimo bora na kinachoendana na wakati