WAKUU KATIKA SEHEMU ZA KAZI KUTUMIA LUGHA NZURI

 

 

Naibu waziri wizara  ya kazi uwezeshaji wazee vijana wanawake na watoto Mh Shadya Suleiman amewataka wakuu katika sehemu za kazi kutumia lugha nzuri wanapotowa hudumza kwa jamii