WAKUU WA TASISI KUWAANDALIA MAFUNZO WATUMISHI ILI KUWAJENGEA UWEZO WA KIUTENDAJI

 

 

Mkurugenzi wa chuo cha utawala wa umma zanzibar bi harusi ali masheko amesema upo umuhimu  kwa   wakuu wa tasisi za serikali kuwaandalia mafunzo watumishi wao ili kuwajengea uwezo  wa kiutendajiMasheko ametoa  kauli hiyo katika ufunguzi wa mafunzo ya makatibu wa wadi mbali mbali yaliyofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya kati dunga .

Amesema watendaji hao wanapaswa kujua mambo mengi yayohusu majukumu yao ili wayafahamu hawanabudi kupata mafuno katika chuo cha utawala wa umma.Afisa uendeshaji wa halmashauri ya wilaya ya kati  hussein iddi amesema mafunzo hayo yamekuja katika wakati muafaka.Mkufunzi  wa mafunzo hayo  kutoka chuo cha utawala wa umma ndugu   abdalla juma  amesemaa chuo chake kiekuwa kikifanyakazi kubwa ya kutoa taaluma ya kuwajengea uwezo watumishi wa serikali.