WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII ILI KUINUA KIWANGO CHA UFAULU KATIKA MASOMO YA SAYANSI

 

Waziri asiyekuwa na wizara maalum mh juma  ali khatibu amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii ili kuinua kiwango cha ufaulu  katika masomo ya sayansi kukidhi haja katika maendeleo ya nchi. Akizindua mradi wa vyoo na huduma ya maji maskulini uliofadhiliwa  na afrika develop fund  mbao  mradi huo umeharimu zaidi ya  milioni tisiinina tano unaoongozwa na zawa katika kusherehekea shamra shamra ya kutimiza miaka hamsini na nneAidha waziri juma amewataka wanafunzi kutojiingiza  katika  vitendo  viovu na kuachana na kujiingiza katika mambo ya siasa.Mkurugenzi mkuu kutoka zawa dk mustafa ali amewasisitiza   walimuna wanafuzi kuchangia huduma ya maji pamoja na kutunza vyoo hivyo kwa  kuweka mazingira safi