WANANACHI WA KIBOKONI KUKITUMIA KITUO CHAO CHA AFYA KWA AJILI YA KUPATA HUDUMA ZA AFYA

Mkuu wa mkoa wa kusini pemba mh hemed suleman abdalla amewataka wananachi wa shehia ya kibokoni kukitumia kituo chao cha afya kwa ajili ya kupata huduma za afya ili kuondoa usumbufu wa kufuata huduma hizo katika hospitali za wilaya .
Akizumgumza katika uzinduzi wa kituo hicho kilichogharimu shilingi milioni 26 ambacho kitawahudumia wananachi wasiopungua 4000 wa shehia ya kibokoni mh: mkuu wa mkoa huyo amesema si vyema wananachi hao kukiacha kitu hicho bila ya kukitumia kwani lengo la serikaili ni kuwasogezea wanacjhi wake huduma za afya karibu na maeneo yao .
Mapema afisa mdhamini wizara ya afya pemba bakari ali bakari amewataka maafisa wa afya kuwashajii sha wananchi wa shehia ya kibokoni kukitumia kituo hicho.
.nao wananchi wa shehia ya kibokoni kufuatia uzinduzi wa kituo hicho walikuwa na haya ya kusema .