WANANCHI KUJIKITA ZAIDI KATIKA SEKA YA KILIMO CHA KISASA

 

Waziri wa nchi ofisi ya rais mwakamo wa pili hm muhamed aboud  amewasisitiza wanachi  wazanzibar kujikita zaidi katika seka ya kilimo  cha kisasa kwa kutumia vifaa vya kitalamu ili kuweza kujiajiri wao wenyewe badala ya kutegemea ajira kutoka serikalini .

Mh wazir aboud muhammed ameyasema hayo mara baada ya kufanya ziara y a kuangalia mabandaya maonyesho ya bidhaa mbali mbli  katika maonyesho ya nane nane huko kizimban.

Amesema vijana ndio tegemeo kubwa kwa taifa na mara tu ya kumaliza masomo yao hawanabudi kujishughulisha na kilimo kwai kilimo kimekuwa kikiongeza pato la taifa na serikali hivyo lazima wajipange vizuri kujua aina ya udongo ili kuwezakuimarika zaidi.

Kwa upnde wa afisa kamanda kutoka jku na chuo cha mafunzo wameeleza umuhimu wao katika kutoa taluma yakilimo naufugaji  kwa vijanaili waweze kujiajiri wao wenyewe kwakutumia kilimo bora chenye manufaa.