WANANCHI KUNUNUA BIDHAA ZINAZO ZALISHWA HAPA NCHINI

 

 

 

 

Naibu waziri biashara na viwanda Mh Hassan Khamis  amewataka wananchi kununua bidhaa zinazo zalishwa hapa nchini ili kuimarisha pato la taifa.

Akizungumza baada ya kukamilisha ziara yake ya kukagua maduka ya shirika la biashara la taifa  zstc uwanja wandege na  bandarini.

Mh hassan amesema biashara zinazozalishwa ni nzuri na zinavutia hivyo ni vyema bidhaa hizo zikanunuliwa  .

Wadhamini wa maduka hayo wamesema biashara inaenda vizuri ingawa kunategemea na wageni wanaoingia nchini.