WANANCHI NA WAFANYABIASHARA WA MANISPAA YA MJINI WAMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAFANYAKAZI WA USAFI WA MANISPAA

Wananchi na wafanyabiashara wa manispaa ya mjini wametakiwa kushirikiana na wafanyakazi wa usafi wa manispaa hiyo ili kudumisha usafi wa mazingira.

akizungumza na wafanyakazi wa usafi wa baraza hilo ofisi kuu malindi mkurugenzi wa baraza la manispaa mjini Said Juma Ahmada amesema jukumu la kusafisha mji wa zanzibar ni la watumiaji wote wa mji wa zanzibar, ili kujiepusha na madhara mbalimbali yatakayotokana na uchafuzi wa

nao wafanyakazi wa baraza hilo wamesema ingawa kazi wanayoifanya ni kubwa lakini bado wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa fomu zinazowatambulisha wanapokuwa kazin, dharau kutoka kwa wananchi na wafanyabiashara pamoja na vitendea kazi vinavyoendana na mazingira wanayofanyia kazi.