WANANCHI WA KIJIJI CHA TUMBATU WAMELALAMIKIA KUSITA KWA HUDUMA ZA UZALIJSHAJI KWA WAJAWAZITO

 

Wananchi wa kijiji  cha  tumbatu  wamelalamikia  kusita kwa huduma za   uzalijshaji   kwa wajawazito katika hospitalini  mwao kwa kipindi  kikubwa  sasa. Pamaja na

Wakiwa  pamoja na kamati ya ustawi wa jamii  ya  baraza la  wakishili  chini  ya mwenyekiti  wake  mwakilishi  wa  jimbo  la dimani  mh mwinyi  haji  makame katika ziara ya  kuitembelea hospitali  ya tumbatu igomani  na skuli  ya  tumbatu  wamesema  kitendo  hiho kina tokana na uneo dogo la kuzalishi pamoja na  kutokuwepo wa wakunga  hao  hospitalini  hapo.

Wakaazi  ho wamesema  kwa vile  tayari wananchi  wameshahamasika  kuzalia  katika  vituo  vya  afya  hivyo  kurejea  nyuma  kwa kuzalishwa  na  wakunga  wakienyeji  kuna wapa  wasiwasi kutokana na kujatokea  tatizo  kubwa na kuwashinda  kulitatua  wakunga  hao.

Akijibu  malalamiko  ya wakaazi  haom  mkurungenzi  mkuuu wa  kinga  ya dr  fahili  abasi  wamesema wizara  ya  afya  tayari imesha liona  tatizo hilo  na wanacho subiri  kumaliza kwa lengo la  wazazi  tu  ambalo   linatarajiwa kufunguliwa  katika  sherehe za mapinduzi   mwakani

tembelea