WANANCHI WA MATEMWE WAMIOMBA SERIKALI KUWARAHISISHIA UPATIKANAJI WA VYETI VYA KUZALIWA

 

Wananchi wa kijiji cha matemwe wamesema wamekuwa wakipata shida katika ufuatiliaji wa vyeti vya kuzaliwa hali ambayo inapelekea watoto kukosa nafasi ya kujiunga naskuli zamsingi katika wilaya hiyo

Wakizungumza  wakaazi hao wa kijiji hicho wamesema wamekuwawakiliipishwa fedha kupitia kwa masheha wao ili kupata urahisi wakupata vyeti hivyo lakini bado kumekuwa nausumbufu kupitia wilayani.

Hivyo wameiombaserikali kuwaangalia kwa jichola huruma ili urahisiuwezekupatikana nakupatiwa vyeti hivyoili watotowaweze kujiandikisha maskulini

Naibu mkurugenzi wausajiliwamatukio yakijaamii ndgshaabanabdalah amesema usajiliwalioufanya kuanzia siku 43 kuzaliwa hadi kufikia miaka sitakatika shehiasita zamatemwe zikiwemo kigomanimbuyutende matemwekaskazini  ,kusini .

Sheha washehia ya matemwe kusini amesemawanachi washehia hizo hawakuwanauelewa wa kutosha  nakushauri zoezi hilo liwelinafanya baada ya mudawa miaka miwiliili kuwezakujitokeza kwawengi wanachikatika usajili huo.

Zoezi hilo lausajililimwjumuishamatukio ya kijamii kama ndoa, talaka vifo pamoja na vyeti vya kuzaliwa waliochelewakupata vyeti hivyo jumla ya wananchi waliopatiwa usajili huo ni miambili naishirini nasita.