WANANCHI WA NYUMBA ZA MICHENZANI WALITAKA SHIRIKA LA NYUMBA KUHAKIKISHA WANAZIFIATILIA KWA KINA

 

Wanachi wa nyumba za mzaendeleo   michenzani  wamelitaka shirika la nyumba  kuhakikisha wanazifiatilia  kwa kina  nyumba hizo ili kuepuka  matatizo yanayowea kujitokeza  kwa kuwa makubwa zaid

Wakizungumza  na mkuu wa wilaya ya mjini na  kamati ya  mazingira na  maendeleo  wamesema   nyumba hizo zimekuwa  na changamoto nyingi  ambazo ufumbuzi wake ni mdogo.

Wamesema kumekuwa na taizo la kufurika kwa  mashimo ya yaji machafu  na kukosekana kwa huduma ya maji safi na salam k2wa baadhi ya mablok ya  nyumba hizo  na kupeleka malalamiko yao katika sehemu husika ila   utekelezaji wake  hauonekani.

Mkuu wa wilya ya mjini bi  marina joel   thomas  amesema   ni vyema  kwa nanajamii kukaa tiku kimoja  katika  kufichua wahalifu  wanao endesha  vitendo viovu katika mitaa.

Naibu mkurugenzi wa  baraza la manispa ali abdallah  natepe  na watendaji wengine wamewataka wafanya biashara  wakubwa kutomwaga taka  nyingi katika madapmu ya  mitaani  kwanni wanawakosesha  upatikanaji wa  huduma watu wengine