WANANCHI WA SHEHIYA YA NGWACHANI WAMEIYOMBA SEREKALI KUSAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO WALIZONAZO

 

 

Wananchi wa shehiya ya ngwachani wilaya ya mkoani pemba wameiyomba serekali  kusaidia kutatua changamoto  walizonazo kuzitatua na kushindwa kuzimaliza  utatuzi wake kutokana na uwezo walionao

Wananchi wa shehia ya ngwachani wakitoa malalamiko yao katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya skuli ya ngwachani msingi walikua na haya ya kusema

Nae mkuu wa wilaya ya mkoani issa juma ali amesema serikali itaendelea kushirikiana na wananchi  ili kuona  changamoto zote zinatatuka.

Aidha mkuu huyo wa wilaya amewataka wananchi hao kuanzisha vikundi vya ujasiriamali kwa lengo la kuweza kujiongezea kipato na kuweza kujiletea maendeleo.

Wakati huo huo amewasisitiza wananchi hao kusimamia maendeleo ya elimu kwa watoto wao ili waweze kujitegemea hapo baadae.