WANAWAKE WAMETAKIWA KURUDISHA UTAMADUNI WA ZAMANI WA MAVAZI NA VYAKULA VYA ASILI

Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi mh ayoub mohamed mahamoud amesema zaidi ya watu mia moja tayari wameshakamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya.
Amesema watu hao wamekamatwa katika kipindi cha miezi minne mwaka huu na wapo waliofikishwa mahakamani na wengine uchunguzi unaendelea ili kuchukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza na vijana walioacha kutumia dawa hizo waliosaidia kupitia kampeni ya mimi na wewe mh ayoub ameiomba jamii kuendelea kusaidiwa vijana hao kama sehemu ya kupabamba na dawa za kulevya
Mwakilishi kutoka hoteli ya emmason feruuzz wanaosaidia kampeni hiyo ameiomba serikali kuwapatia mafunzo ya kazi za mikono vijana ili wajitegemee katika maisha.
Kwa upandewake ramadhan kassim amewaomba walezi na wazazi kushirikiana na serikali katika kuimarisha malezi bora kwa vijana