WANAWAKE WAMETAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO

Wanawake wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika  shughuli za kimaendeleo kwa kujishughulisha  na  elimu  ili kuweza  kujikwamua mkiuchumi ikiwawa shamra shamra za kuanzimisha siku ya wanawake dunianiHayo yameelezwa na mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji  ayman duwe wakati akitembelea maonyesho ya kazi za mikono zinazofanywa na wanafunzi wa skuli ya wasichana bembela pamoja na skuli hailesalas,  kwarara lumumba ameema wanawake wanauwzo wa kujitambua na wananafasi kumbwa katika kupigania haki zao za msingi  kwa kuweza kujishughulisha na  ujasiria mali .msaidizi mwalimu mkuu wa skuli ya bembela  bibi  asha mkubwa amsema wananawake wanaweza bila ya kuwezeshwa na kufanya maamuzi yao wenyewe bila kuwepo wanaume

.