WANCH I WA SHEHIA 8 ZA WILAYA YA MAGHARIB WAMEELEZEA KERO ZAO ZINAZOWAKABILI

 

Wanch i wa  shehia 8 za wilaya ya magharib  wameelezea  kero  zao  zinazowakabili ndani ya  jimbo la Dimani ikiwa ni muendelezo  wa  ziara ya mkuuwa mkoa wa mjini mhe ayoub mohd  mahamoud  ndani  ya wilaya  hiyo kwa  kusikiliza kero za wananchi na kuweza kufanyiwa kazi

Wananchi hao wamesema kumekuwa na kero nyingi ambazo zimekuwa zikiwakwamisha kimaendeleo  katika sekta ya elimu afya  na    tatizo la maji safi migogoro ya ardhi  suala la uwekezaji  chandra kuhodhi ardhi zaidi ya mika 25bila ya tija yoyete kwa inyopatikana kwa wananchi na serikali  pamoja na kuwalalamikia waendesha vespa ti one kutoka mjini kuelekea fumba siku ya wiki endi kwa kuendesha v ibaya vyombo hivyo bila ya kuhofu usalma wa wawengine.

akijibu  kero  hizo mkuuu wa mkoa Mhe Ayoub Mohd Mahamoud amesema kero hizo za maji elimu afya   miundo mbiunu kero hizo zitafanyiwa kazi  na kuhusu ti one ameliagiza  jeshi la polisi kuwashughilikia watu hao na suala la muwekezaji  chandra  amewatoa hofu wananchi kuwa eneo hilo litarudi katika mikono ya serikali au kupewa muwekezaji mwengine.

Aidha  mhe  ayoub   amewataka wananchi  hao  wa shehia 8 kuacha tabia ya kuuza viwanja  kwa maeneo yaliotengwa  na  serikali kwa ajili ya  shughuli za kimaendeleo kwa wananchi wa jimbo la dimani .