WATENDAJI WA MABARAZA YA VIJANA KUSHIRIKAIANA NA VIONGOZI WAO

 

Watendaji wa mabaraza ya  vijana  wametakiwa kushirikaiana  na viongozi wao   wa mabaraza ilikuhaklikisha  wanawaendeleza vijana katika kuwaletea maendeleo  vijana  wao kuanzia ngazi  za shehia .

Akizungumza na  wenyeviti na maafisa ya  wa baraza ya vijana wamikoa  mitatu ya zanzibar  naubu katibu mkuu wa  wizara ya  vijana  utamaduni  na michezo nd amour hamil  bakari amesema kufanya hivyo kutaweza kufikiowa lengo la  kuondokana  na utegemezi wa ajira zanzibar.

Amesema ili kuhakikisha mabaraza hayo  yana kuwa atahakikisha ni vyema kuhaklikisha ana tekeleza mabaraza hayo kwa  kuimarisha  kanuni na sheia baraza .

Akitoa ufafanuzi  juu ya ukusanyaji wa fedha zinazo tolewa na serekali wa mabazara ya  vijana kupitiwa  wilayani amesema  ni lazima kuweko kwa utaratibu wa kutolewa pesa  kwa walengwa