WATU WANNE WANASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA RAIYA WA UJERUMANI

 

Jeshi la polisi mkoa wa mjini liwashikia  watu  wanne  kwa tuhuma za mauaji ya raiya wa ujerumani majira ya saa 9.30 usiku huko shangani.

Akitoa taarfa kwa vyombo vya habari kamanda wa polisi mkoa wa mjini kamishna msaidizi wa polisi  hassan nasir ali amesema tukio hilo limetotea   jana usiku wakati watu hao wakiwa katika starehe.

Mtu huo alie uwawa alijulikana kwa jina la jerat winkil mwenye umri wa miaka 60 raiya wa ujerumani ambaye anaishi shangani na ni muekezaji wa mkahawa mdogo   uliopohapo.

Kamanda nassir amesema jeshi la pilisi linaendelea na  upelelezi wake wa kutafuta  watuhumilwa wengine na kufikichwa katika vyombo vya kisheria