WATU WATANO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA MATUKIO TOFAUTI

 

Watu watano wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo  kuchomwa kisu,kutumbukia kisimani na ajali za barabarani.

Kamanda wa mkoa wa kusini  suleiman hassan  amethibitisha kutokea kwa baathi ya matukio katika mkoa wake  na kuzungumza kwa njia ya sim na muandhishi wa zbc na hapa anasema.

Nae kamanda wa mkoa wa kaskazini haji abdala haji  amethitisha matukio hayo kwa njia ya sim na muandishi wa zbc na hi ndio kauli yake.

Mapema daktari bingwa wa maradhi mbali mbali hospitali kuu ya mnazi mmoja aliyefanya uchunguzi wa maiti hizo anaeleza chanzo cha vifo za maiti hizo na kutoa wito ka jamii na madereva wa vyombovya moto.

Nae  mkuuwa wilaya ya kusini  ametoa wito kwa vijana, madereva, na jamii kwa ujumla kutochukua sheria mikononi mwao.

Waliofariki ni othman hatib othman miaka 26 ametumbukia kisimani,mwanafunzi machano haji 17, yussuf abeid miaka 26,aqhmed salum miaka 53, na amoss saapita miaka 33 kwa ajali za barabarani